Tuesday, October 11, 2016

Rasmi:Adam Lallana kuikosa mechi dhidi ya Man United


Meneja wa majogoo wa jiji Liverpool Jurgen Klopp, ameendelea kupokea taarifa za majanga kuhusu kikosi chake ambacho mwanzoni mwa juma lijalo kitakabiliwa na mpambano wa kukata na shoka dhidi ya Manchester United.